Programu
DFP
PROGRAMU | WAHUSIKA |
1. Kubuni mradi ambao utaongeza kipato cha Jumuiya. 2. Kuandaa semina ya kidaawah kwa wanajumuiya na Juamuiya jirani 3. Kuongeza kipato cha ndani cha Jumuiya. 4. Kutafuta wazamini wan je ambao wanaweza kusaidia katika kuendeshe shughuli za Jumuiya. 5. Kuangalia upya mali za Jumuiya na kuziorodhesha ili kuweka udhibiti mzuri wa mali hizo. | DFP & ACC DFP, DDIR, DES & ACC DFP DFP & ACC DFP |
DDIR
PROGRAMU | WAHUSIKA |
1. Kubainisha nyanja mbali za ushirikiano na Jumuiya nyengine. 2. Kutafuta walimu watakao fundisha Qur-an, Fiqhi na Tawhiid. 3. Kupanga ratiba maalumu ya vipindi vya darsa. 4. Kuboresha mahusiano baina ya waislamu (ARUMSA). 5. Kuandaa semina ya kidaawah na Jumuiya nyengine pamoja na waislamu wa jirani. 6. Kuandaa muongozo sahihi katika utoaji wa Daawah 7. Kuandaa kundi la vijana ambao wataenda kukaa kambi (Camp) kwa ajili ya kusoma DINI. 8. Kupanga mpango wa kufundisha maarifa ya kiislamu shule za Primary. | DDIR, DISR & DES DDIR & ACC DDIR DDIR DDIR, WW,DES & DFP DDIR & DES DDIR, ACC & DES DDIR & DES |
DES
PROGRAMU | WAHUSIKA |
1. Kukamilisha usajili wa under graduate pamoja na kuanza kufanya usajili wa postgraduate. 2. Kukusanya taarifa maalumu za wafanya kazi waislamu na Alumni ili kuimarisha network. 3. Kutembelea vituo vya tuition 4. Kukamilisha pendekezo la kufungua kituo cha tution. 5. Kuwasilisha pendekezo la tution center. 6. Kufuatilia vituo vya elimu (schools) kwa ajili ya visitations. 7. Kuboresha Data base ya Jumuiya. 8. Kufanya uchunguzi wanajumuiya juu ya utayari kufundisha. | DES DES, ACC,& DISR DES DES & ACC DES & ACC DES & WW DES & DISR DES & ACC |
DISR
PROGRAMU | WAHUSIKA |
1. Kuendeleza na kuboresha Blog, Database pamoja na kuandaa Website. 2. Kukamilisha muongozo wa jarida la Jumuiya. 3. Kukusanya taarifa maalumu za wafanya kazi waisilamu pamoja na Alumni. 4. Kubainisha Nyanja mbali mbali za ushirikiano na Jumuiya nyengine za kiisilamu. 5. Kuangalia Jumuiya ambazo tutaweza kushirikiana nazo katika Nyanja ambazo zitabainaishwa. 6. Kuandaa na kuwasilisha (proposal) kwa ajili ya ushirikiano. 7. Kuandaa gazeti au jarida la Jumuiya. | DISR, DES & ACC DISR & (ANEBO) DISR & DES DISR, DES & DDIR IDARA ZOTE DISR & ACC DISR |
WW
PROGRAMU | WAHUSIKA |
1. Kuandaa semina ya kidaawah kwa wanajumuiya wote (kongamano). 2. Kushiriki katika Carrier Councelling. 3. Kuhamasisha tabia njema pamoja kujisome vitabu, kuhudhuria Darsa n.k kwa wanajumuiya. 4. Kuandaa muongozo wa utoaji Daawah kwa wanajumuiya. 5. Kufanya utafiti wa kituo cha mayatima cha kukitembelea. 6. Kuboresha utoaji wa Daawah na utaratibu wa kutembeleana baina ya wanajumuiya (ARUMSA). | WW, DDIR, DES, DFP & ACC WW & DES WW & DES WW & DDIR WW & CoSU WW & DDIR |