Bismilahir Rahmanir Rahiim.
MKUTANO MKUTANO MKUTANO
ASALAM ALaYKUM
WANAFUNZI WOTE WAKIISLAM MNATANGAZIWA KUHUDHURIA KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAM
WA CHUO KIKUU ARDHI(ARUMSA) UTAKAOFANYIKA HAPA CHUONI
SIKU: IJUMAA TAREHE 27/01/2012
MAHALI: CHUMBA NA.62 (JENGO JIPYA)
MUDA:SAA 1:00-2:30 USIKU
NDUGU ZANGU KATIKA IMANI TUJITAIDI KUHUDHURIA ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA
MBALIMBALI JUU YA MAENDELEO YA JUMUIYA YETU TOKA MWAZO WA “SEMESTER”
MPAKA SASA.BILA KUSAHAU KUWA MCHANGO WAKO WA MAWAZO NI MUHIMU KWA
MAENDELEO YA JUMUIYA YETU INSHAALAH
KATIBU(DISR)
NB “ Shikamaneni katika kamba ya Mwenyezimungu pamoja wala msifarikiane (Quran)